The House of Favourite Newspapers

Picha za ajali ya Mabasi mawili na Lori moja Jijini Mbeya leo

0

ajali (1) Ajalia ilivyotokea.ajali (2)…hali ya sintofahamuajali (3)

Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya leo asubuhi, ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha, basi la Best linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Mwanza pamoja na lori katika eneo la Inyala mkoani Mbeya.

Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo. Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP Ahmed Msangi amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Leave A Reply