The House of Favourite Newspapers

VIDEO + PICHAZ: Moshi Yafurika Kuuaga Mwili wa Mzee Philemon Ndesamburo

0

==========

Mamia waliofurika kuaga mwili wa Mzee Ndesamburo.

MOSHI: Mwili wa marehemu mzee Philemon Ndesamburo umeagwa leo mchana katika Viwanja vya Majengo, vilivyopo Moshi mkoani Kilimanjaro kisha kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Mbokomu, Moshi Vijijini ambako atazikwa kesho.

Wananchi wakielekea kwenye Viwanja vya Majengo kwa ajili ya kuaga mwili wa Mzee Ndesamburo.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Fredrick Sumaye akiwasili kwenye Viwanja vya Majengo kwa ajili ya kuaga mwili wa Mzee Ndesamburo.

 

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi waliofika kwenye uwanja  huo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Majengo kwa ajili ya kuagwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Marehemu Phillemon Ndesamburo.

 

Ibada ya kuaga mwili wa Ndesamburo ikiendelea viwanjani hapo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwasili katika viwanja vya Majengo kwa ajili ya kuagwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Marehemu Phillemon Ndesamburo.

 

Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa wamebeba jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Marehemu Phillemon Ndesamburo.

 

 

Viongozi wa Chadema wakiwa msibani hapo

 

Mjane wa Marehemu akihuzunika kumpoteza mumewe.

 

Askofu Josephat Gwajima akitoa neno.

 

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya akizunmgumza

PICHA ZOTE NA HILLARY DAUDI | GLOBAL TV ONLINE

Leave A Reply