The House of Favourite Newspapers

Q Chillah, MB Dog wajiandaa na kolabo

0

qchillah
Mkongwe katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’.

Said Ally, Dar es Salaam
WAKONGWE katika muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ na Mbwana Mohamed ‘MB Dog’ kwa sasa waumeungana kuhakikisha wanarudi kukonga nyoyo za mashabiki wao ambao wamewamisi kwa muda mrefu.

Q Chillah na MB Dog kwa vipindi tofauti waliwahi kubamba kwenye tasnia hiyo kabla ya kupotea na sasa wanarejea tena.

wwe33333MB Dog.

Akizungumza na Mikito Jumatano, Q Chillah alisema kuwa muungano huo utaweza kuleta tija kwao na kuweza kurudi kushika kasi ambayo walikuwa nayo zamani.

“Kwanza nashukuru kufanya kazi pamoja na MB Dog kwani ni miongoni mwa wasanii ambao nilikuwa natamani kufanya naye kazi kwa kipindi kirefu.

“Lakini naamini kwa kupitia muungano huu utaweza kuturejesha tena kwenye soko la muziki na kufanya vyema kama ilivyokuwa zamani,”alisema Q Chillah.

Leave A Reply