The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Magufuli Apokea Hundi ya Gawio la Sh. Bil 10. 48 Kutoka NMB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya gawio la Shilingi Bilioni 10. 48 kwa Serikali kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurungezi wa Benki ya NMB, Margaret Ikongo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ruth Zaipuna (kulia) katika hafla ya upokeaji wa gawio na michango kwa Serikali iliofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma mapema leo. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai.
Sehemu ya baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea.
Picha ya pamoja na baadhi ya uongozi wa  Benki ya NMB  Ikulu Chamwino, Dodoma mapema leo.

Comments are closed.