The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Mwinyi Azindua Jengo la Bodi Ya Mapato la Bil 10

0
Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi akikata utepe kuzindua jengo hilo.
Mwonekano wajengo la Bodi ya Mapato Zanzibar .
Picha ya pamoja.

 

Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametoa pongezi kwa kampuni ya Ujenzi ya Advent kwa utoaji huduma bora za ujenzi kutokana na walivyojenga jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar kuendana na fedha zilizotengwa.

 

Shukrani hizo amezitoa wakati akizindua jengo hilo lililogharimu fedha zaidi ya fedha Bil 10,556,263,431 chini ya gharama iliyotarajiwa.

Aidha Dkt. Mwinyi amesema kuwa serikali ya Zanzibar itaendelea kuweka Imani katika uwezo wa Kampuni za wazawa katika ujenzi wa majengo mbalimbali kwa fedha zitakazokuwa zikibakia na kunufaisha zanzibar na kuongeza mzunguko wa fedha nchini na katika serikali yakehat

ruhusu makampuni ya ujenzi kuja na mabadiliko ya viwango vya kimikataba.

 

Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametoa pongezi kwa kampuni ya Ujenzi ya Advent kwa utoaji huduma bora za ujenzi kutokana na walivyojenga jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar kuendana na fedha zilizotengwa.

 

Shukrani hizo amezitoa wakati akizindua jengo hilo lililogharimu fedha zaidi Bil 10 chini ya gharama iliyotarajiwa.

Aidha Dkt. Mwinyi amesema kuwa serikali ya Zanzibar itaendelea kuweka Imani katika  Kampuni za wazawa katika ujenzi wa majengo mbalimbali kwa fedha zitakazokuwa zikibakia na kunufaisha zanzibar na kuongeza mzunguko wa fedha nchini na katika serikali yake hataruhusu makampuni ya ujenzi kuja na mabadiliko ya viwango vya kimikataba.

 

Kwa upande wao Kampuni ya ujenzi ya Advent Constructions imeishukuru serikali ya Zanzibar kwa kuiamini kampuni hiyo na kuipatia kazi ya kujenga jengo hilo na kwamba kampuni imejipanga kutekeleza miradi mingine mbalimbali nchini.

Leave A Reply