The House of Favourite Newspapers

Rais JPM Aungana na Wajeda Kuchanganya Zege Ikulu – Video

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa, Mei 29, 2020, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

 

Jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma, kesho Mei 30,2020, litawekwa na Rais Magufuli, Mama Maria Nyerere (kwa niaba ya Baba wa Taifa Mwl. Nyerere), Rais Mstaafu Dkt. Ali Hassani Mwinyi, Mstaafu Mkapa na Mstaafu Kikwete.

 

 

Leave A Reply