The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif,  leo Ikulu jijini Dar.magufRais Magufuli akizungumza na Maalim Seif.
Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli, (katikati) na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu wakiwa katika picha ya pamoja.
Maalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe Magufuli wakiongea na wanahabari.
 Seif Sharif akiagana na Makamu wa rais, Mhe. Samia Suluhu.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

Leave A Reply