The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Amteua Charles Kichere Kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA

Magufuli3
Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Bw. Kichere ameteuliwa kuzaja nafasi iliyokuwa wazi kwa zaidi ya mwaka mmoja.

uteuzi

halotel-strip-1

Comments are closed.