MAGUFULI ASHIRIKI JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MT. JOSEPH

Rais  John Magufuli akipakwa majivu na Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam,  Joseph Mosha,  wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019.

…Akipokea mkate wa Sakramenti Takatifu.

Sehemu ya waamini  kanisani hapo.

…Akiwaaga waamini wenzake.

PICHA NA IKULU

Toa comment