The House of Favourite Newspapers

Magufuli Aahidi Kujenga Uwanja wa Ndege Njombe ( Picha +Video)

0

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli ameahidi kujenga uwanja wa ndege mkoani Njombe.

Ametoa ahadi hiyo leo akizungumza na wananchi wa Makambako mkoani Njombe katika mkutano wa kampeni wa leo Septemba 29, 2020 Makambako mjini.

Amesema pia atakamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Njombe na kuwawezesha Watanzania wote kuwa na Bima ya Afya ambapo pamepangwa pia kujenga vituo vya afya na kuongeza bajeti ya kununua madawa

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply