The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Kukutana na viongozi wa TUCTA Leo

    Rais Magufuli

Rais Magufuli leo atakutana na viongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii (SSRA) asubuhi hii, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Matangazo yatarushwa na vituo vya Redio, Televisheni na mitandao. Watajadili Mafao ya wafanyakazi hususanani KIKOKOTOO.

Comments are closed.