The House of Favourite Newspapers

Magufuli Kumwapisha Majaliwa Leo – Video

0

RAIS John Magufuli leo, Jumatatu, Novemba 16, 2020, atamwapisha Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma baada ya kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo, Rodney Thadeus, amesema Majaliwa ataapishwa leo asubuhi Ikulu ya Chamwino katika hafla itakayomfanya kuendelea kwa muhula wa pili.

Leave A Reply