The House of Favourite Newspapers

Pogba Asema Hana Furaha Man U

0

KIUNGO wa kati wa Manchester United na Ufaransa, Paul Pogba, anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake ya soka kutokana na muda wake wa mchezo katika Old Trafford.

Akifanyiwa mahojiano na kituo cha RTL. amesema kuwa; “Napitia kwenye wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule katika maisha yangu ya soka.  Timu ya taifa ndiyo imekuwa kama pumzi ya mimi kuja kupumlia huku, ni mahali pa safi, nafurahia zaidi, its magic.”

Leave A Reply