The House of Favourite Newspapers

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Skuli ya Sheria Zanzibar.

 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar, Mhandisi Zena Said, uteuzi huo unaanza leo Julai 17, 2021.

Leave A Reply