The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akutana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang wa kwanza kulia kutoka kwa Mhe. Rais, ambaye aliambatana na Viongozi wenzake wenzake Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang ambaye aliambatana na Viongozi wenzake Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.

PICHA NA IKULU

Leave A Reply