The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Akutana Na Timu Ya Taifa Ya Walemavu Ikulu, Dar (Picha +Video)

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuwapongeza Viongozi na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu, kufuatia kufuzu kushiriki katika Kombe la Dunia kwa Watu wenye Ulemavu 2022 nchini Uturuki. Hafla hiyo iliyoambatana na chakula cha mchana imefanyika leo tarehe 07 Desemba, 2021 katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia akiwa na baadhi ya Viongozi wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo Desemba 7, 2021 amekutana na Viongozi na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa Watu wenye Ulemavu, kufuatia kufuzu kushiriki katika Kombe la Dunia kwa Watu wenye Ulemavu 2022 nchini Uturuki. Hafla hiyo iliyoambatana na chakula cha mchana imefanyika leo tarehe 07 Desemba, 2021 katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply