The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB).

Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023.

Leave A Reply