The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha NIT

0
Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus imebainisha kuwa Dkt. Mgaya ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) anachukua nafasi ya Prof. Zacharia Mganilwa ambaye amemamliza muda wake.

Leave A Reply