The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Amteua Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

0

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Kabla ya uteuzi huu Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na anachukua nafasi ya John Vianney Mongella ambaye atapangiwa kazi nyingine.

MIDUME ya YANGA YAFIKA na MAWIGI kwa MKAPA KUWATISHA MAMELODI – ”MAWIGI YAMETOKA MAREKANI”…

Leave A Reply