The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Yagawa Reflectors Kwa Bodaboda Magomeni Dar

0

Kauli pekee ambayo unaweza ukaitumia na ikaleta maana ni kua kampuni bingwa ya michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imewatoa kimasomaso madereva Bodaboda wanaofanya shughuli zao za udereva maeneo ya Magomeni.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamewatoa maderava hao kimasomaso kwani wamefika eneo hilo na kufanikiwa kutoa msaada wa vifaa ambavyo vitawasaidia Bodaboda hao katika shughuli zao za kila siku ambapo wamewapatia Reflectors.

Lengo La Meridianbet kutoa Reflectors kwa Bodaboda kwajili ya kuhakikisha wanaungana na Serikali katika kuhakikisha wanapunguza ajali barabarani,Kwani kupitia Reflectors imekua ikiwasaidia sana Bodaboda kuepukana na ajali za mara kwa mara barabarani.

Aidha mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Bi. Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza katika eneo hilo akiiwakilisha taasisi ya Meridianbet “Kwanza kabisa nipende kuwashukuru viongozi wa eneo hili kuweza kufanikisha sisi kufika hapa, Lakini jambo la msingi  ni furaha yetu kuona tunaungana na serikali katika kupiga vita ajali za barabarani kwa kuweza kufika hapa na kugawa Reflectors”

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi mbalimbali barani ulaya na dunia kwa ujumla. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kiongozi wa Umoja wa Bodaboda eneo la Magomeni nae alipata nafasi ya kuongea baada ya Meridianbet kufika eneo hilo na kutoa neno la shukrani “Tunashukuru sana kwa kampuni hii kongwe kabisa kufika eneo hili na kuweza kutoa msaada wa Reflectors kwetu ambazo kiukweli zitakwenda kutusaidia sana kuepusha ajali za barabarani ambazo tumekua tukikumbana nazo mara kwa mara, Nipende kutoa wito kwa makampuni mengine yaweze kujitoa na kugusa jamii kama Meridianbet”

 

Leave A Reply