The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Ashiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata

0

 

Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, tarehe 10 Aprili, 2024.

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, tarehe 10 Aprili, 2024.

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na waumini wengine wa dini ya Kiislam katika ibada ya Eid El Fitri Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, tarehe 10 Aprili, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zuberi muda mfupi kabla ya kuanza kwa ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, tarehe 10 Aprili, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waumini wengine mara baada ya ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, tarehe 10 Aprili, 2024.
Leave A Reply