The House of Favourite Newspapers

Video: Mtoto Wa Lowassa Ajilipua Makonda Kupelekwa Arusha – ”Yalitokea Yaliyotokea – Namtegemea Sana”…

0

Fredrick Lowassa Mbunge wa jimbo la Monduli, jijini Arusha amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kueleza kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ana Imani naye katika utendaji wa kazi hivyo hata katika migogoro ya ardhi mkoani humo atakwenda kuitatua.

Leave A Reply