The House of Favourite Newspapers

Raisi Magufuli Arudisha Wanyama Pori Ikulu – Video

0

Rais Dkt. John Magufuli amerejesha wanyamapori katika bustani za Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

Wanyama waliopo katika bustani ni Pundamilia, Pofu,Swala, Digidigi, Tausi, Mbuni, Tumbili, Kanga, Batamaji na wengine. Wanyamapori hao walifugwa wakati wa Uongozi wa Hayati Mwl. Julius Nyerere.

 

Leave A Reply