The House of Favourite Newspapers

Rammy Amtupia Ndoano Sanchi

Sanchi.

STORI: IMELDA MTEMA | AMANIShowbiz Xtra

STAA wa sinema za Kibongo, Rammy Galis amedai kuwa baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake, Agnes Jerald ‘Masogange’, ameanza ‘kumtilia maguu’ Sanchi ambaye anaamini ataziba pengo lake.

Sanchi.

Rammy amefunguka hilo wakati akilonga na Showbiz Xtra kuwa yuko kwenye mazungumzo na mrembo Sanchi na wako katika hatua nzuri ya makubaliano.

Sanchi.

“Nilikuwa kimya kwa sababu ya kufanya tathmini nani ambaye angeweza kuziba pengo la Masogange lakini kwa sana niko kwenye mazungumzo na Sanchi ikiwezekana awe mrithi wangu,” alisema Rammy.

Comments are closed.