The House of Favourite Newspapers

Rayvanny Ampa Ujumbe wa Bethidei Paula, Full Mahaba

0

STAA wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ ameendelea kujilipua kuonesha mahaba kwa mpenzi wake, Paula ambapo leo Julai 15 amemtakia heri ya kuzaliwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rayvanny ameposti picha zao mpya nne za mapozi na mavazi tofauti na kusindikiza na ujumbe uliosomeka hivi: “Even these flowers are jealous of your beuty…happy birthday Bonnie.”

(Hata haya maua yanaonea wivu uzuri wako…heri ya kuzaliwa Bonnie) Paula naye akajibu kwa kuandika: “Thank you clyde I love you.”
(Asante Clyde nakupenda.)

Bonnie na Clyde walikuwa ni majambazi nchini Marekani waliokuwa wanapendana na waliuawa pamoja zamani sana. Baadaye, mwaka 1967, ilichezwa filamu kuhusu maisha yao.

Written by @erick.evarist cc @hotpot_tz

 

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply