The House of Favourite Newspapers

RC Kagera Aipokea Kilimanjaro Queens, Awapongeza Kwa Ushindi

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akipokea kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa wanawake kutoka kwa nahodha wa Kilimanjaro Queens, Sophia Mwasikili.

rck5

…Akiliinua kombe la ushindi.

rck6

…Akipokea bendera ya taifa kutoka kwa Katibu wa Chama cha Mpira mkoani Kagera, Salum Chama, Kilimanjaro Queens kuwasili kutoka Uganda.  Katikati ni Mwenyekiti wa Soka la Wanawake nchini,  Amina Karuma.

rck3

…Akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro Queens.

rck2

…Akiendelea kusalimiana na baadhi ya wachezaji.

rck1-1

 …Akisalimiana na baadhi ya viongozi  waliofuatana na timu hiyo

(Picha na Idara ya Habari Maelezo)

Comments are closed.