The House of Favourite Newspapers

RC Mghwira Athibitisha Nzige Kuonekana Kilimanjaro – Video

0

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema kundi la nzige limeonekana jana Jumapili Februari 09, 2020 Wilaya ya Moshi na kisha kutokomea kusikojulikana, kwamba hadi leo Jumatatu Februari 10, 2020 hawajathibitisha walipo.

RC MGHWIRA Atoa Kauli Kuhusu Kuvamiwa na Nzige “Walionekana na Kupotea”

mazuri.”

Leave A Reply