The House of Favourite Newspapers

Reflector Zatolewa Kwa Bodaboda Maeneo ya Mbagala

0

“Hodi hodi bodaboda wa Mbagala Meridianbet tumekuja kwaajili yenu na hapa tulipo tumewaletea reflector zitakazowasaidia wakati mkiwa mnaendesha chombo hicho cha usafiri.” Hayo yalikuwa maneno ya Afisa Masoko wa kampuni hiyo Matina Nkurlu baada ya kufika eneo la tukio hapo Mbagala Nzakiem.

Matina kwenye utoaji wa reflector hizo aliambatana na baadhi ya wafanyakzazi wa Meridianbet akiwemo Twaha Ibrahim ambaye ni meneja Maudhui wa Kampuni hiyo ambapo waliitendea haki vizuri kaulimbiu yao ya Mtaa kwa mtaa na kuanza kugawa reflector hizo kwa bodaboda.

Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”. Wanazidi kumwaga oods kubwa ambazo lazima zikuvutie wakati ukiwa unabashiri mechi zako, na kueleka ligi kuisha hawatakuacha hivi hivi wanakulete amichezo mingi ya kasino ya mtandaoni ambayo itakufanya usiboreke baada ya ligi kumalizika.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Reflector zinahitajika karibu kila eneo la jiji la Dar es salaam kwa bodaboda wote na kutokana na uhitaji huo, Matina Nkurlu amewaahidi boda boda wa hapo kuwa watarudi tena eneo hilo kwaajili ya kutoa reflectors kwa wale ambao wamekosa.

Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA. i.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Leave A Reply