The House of Favourite Newspapers

Rich Mitindo Aanika Mahari ya Wolper

0

MZAZI mwenza na mpenzi wa staa wa filamu Jacqueline, Wolper Rich Mitindo, amesema kuwa kwa kutaja mahari ya Wolper ambayo thamani yake ni ng’ombe 10.

 

Rich Mitindo anasema taratibu za kwenda kwa wazazi tayari zimeshafanyika na kinachosubiriwa ni ndoa tu.

 

Wapenzi hao wali-make headline mwezi August 2021, baada ya Rich Mitindo kumvisha pete ya uchumba Wolper, na mpaka sasa kwenye mahusiano yao wamebahatika kupata mtoto mmoja.

Leave A Reply