The House of Favourite Newspapers

Roma, Darassa Wakutana Uso kwa Uso, Watambiana Mbele ya Mashsbiki

roma na darassa dar live

Darassa akikamua mbele ya mashabiki

roma na darassa dar live

roma na darassa dar live roma na darassa dar liveroma na darassa dar live roma na darassa dar live roma na darassa dar live roma na darassa dar live img_2795-001

Roma akijikusanyia kijiji

roma na darassa dar live roma na darassa dar live roma na darassa dar live roma na darassa dar live roma na darassa dar live

DAR ES SALAAM: Miamba wawili wa Hip-Hop, Roma na Darassa hatimaye leo wamekutana uso kwa uso kwenye Viwanja vya Shule ya Hananasifu iliyopo Kinondoni jijini Dar, kisha kujikuta wakitambiana mbele ya mashabiki wao namna watakavyowasha moto kwenye Jukwaa la Dar Live, katika shoo ya Mkesha wa Mwaka Mpya.

Majigambo hayo yalikuwa yakirushwa na Kipindi cha Uhondo cha EFM Radio.

Darassa na Roma, kwa pamoja watapanda katika Jukwaa la Dar Live kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya ili kumaliza ubishi wa nani mkali wa michano katika pambano la https://globalpublishers.co.tz/?s=Nichane+Nikuchane.

Mbali na wakali hao kupanda jukwaani siku hiyo, pia wengine watakaotoa burudani ni pamoja na Kundi la Muziki wa Taarab la Jahazi, Juma Nature, Makhirikhiri, MC Darada,  Topido, ID Classic, H-Mbizo na wengine wengi.

Kwa kiingilio cha Sh 5,000, mashabiki watapata fursa ya kuingia na kushuhudia mpambano huo mkali ambao rasmi utaanza saa 7 mchana mpaka majogoo.

PICHA NA MUSA MATEJA/GPL

rap-battle-1

Comments are closed.