The House of Favourite Newspapers

Ruby Atupiwa Vyombo Nje, Afunguka Mazito Kuhusu Kusah – Video


Msanii wa Bongo Fleva “Ruby” adaiwa kutupiwa vitu nje na mwenye nyumba wake kwa kushindwa kulipa kodi ya Tsh 700,000.

 

Hali iliyomfanya alie kwa uchungu na kumlaumu mzazi mwenza wake Kussah kwamba ndio chanzo cha yeye kudhalilika kiasi hiki kwani ndiye alietakiwa kulipa.

 

 

Comments are closed.