The House of Favourite Newspapers

Ruto Akataa Hoja ya Kuongeza Muda wa Rais Kuwa Madarakani, Asema ni Ubinafsi

0
Rais wa Kenya, William Ruto.

 

Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais

Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili kama inavyoeleza Katiba ya Kenya.

 

#EXCLUSIVE: PRETTY KIND AANIKA UKWELI KUATHIRIKA na UKIMWI -“ALIYENIPELEKA INDIA AMEKUFA’|MPAKA HOME

 

 

Leave A Reply