The House of Favourite Newspapers

Said Mrisho na Mkewe Wakutana LIVE

0

 

Kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na mtu anayedaiwa kuwa ni, Salum Njwete ‘Scorpion’, ambaye hivi karibuni alidaiwa kumtelekeza mkewe, Stara Sudi ‘Mama D’ na watoto wanne, sasa wanandoa hao wamekutana LIVE.

Unataka kufahamu kilichojiri baada ya kukutana?

Usikose kutazama Global TV Online, LIVE leo Jumatatu saa 12:15 jioni, kuona kilichotokea baada ya wanandoa hao kukutana.

SUBSCRIBE SASA ==>Global TV Online

 

ILIKUPITA HII?

UKWELI; Said Mrisho Aliyetobolewa Macho Kuhusu Kuitelekeza Familia

Leave A Reply