The House of Favourite Newspapers

Sakata la Petitman Kumfumania Karen, Aliyevaa Dera Afunguka Ukweli – VIDEO

Siku chache zilizopita Mitandaoni kulichafuka kufuatia kusambaa kwa picha inayomuonesha mwanaume mmoja akiwa amevaa dera huku pembeni akionekana Mwanamuziki Karen, na ubuyu kusambaa kuwa lilikuwa ni fumanizi la kufa mtu.

Global TV imemtafuta Kijana huyo ambaye alionekana akiwa amevaa dera anayeitwa Mapalala na kumuuliza ilikuwaje mpaka picha hizo zikasambaa.

Comments are closed.