The House of Favourite Newspapers

Samatta Asajiliwa Aston Villa, Sasa Rasmi EPL

0

STRAIKA wa Timu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza kwa ada ya £9m.

Samatta atatambulishwa rasmi kwenye klabu hiyo leo mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya.

 

Leave A Reply