The House of Favourite Newspapers

Sanchi: Nimeshinda Ijumaa Figa Bomba Girl 2017, Mahari Yangu Zaidi ya mil. 10

0
Staa wa Bongo, Jane Rimoy  ‘Sanchoka’ au Sanchi akiwa kapozi kabla ya kuanza mahojiano ndani ya studio za kisasa za Global TV Online zilizopo Sinza- Mori.

JANE Rimoy Sanchoka au Sanchi , ni jina la msanii ambaye amejizolea umaarufu mkubwa duru za burudani Bongo baada ya kuonekana kufanya vizuri katika kupamba video vya wasanii wa muziki wa Kizazi Kipya, au Bongo Fleva.

…Akiwa katika pozi la kusubiri swali.

Umbo lake kubwa limemfanya kuwa kivutio, ingawa mara kadhaa wadau wamekuwa wakihoji uhalali wa chanzo cha mwili wake, wakihofu kuwa huenda anatumia madawa ya kuongeza ukubwa, ambaya yanafahamika kama ‘Mchina’.  Mrembo huyoalitinga ofizi za Global TV Online katika ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori jijini Dar Jumamosi na kufanya mahojiano.

…Mahojiano yakiendelea.

Sanchi amesema kabla ya kushinda taji la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 mahari yake ilikuwa Sh. milioni 10 kwa sasa mwanaume atakayefunga naye ndoa ajiandae kulipa zaidi ya Sh. milioni 20.

 

Kuangalia mahojiano ya Sachoka ‘Sanchi’ endelea kutembelea Global TV Online kuanzia sasa ujionee A-Z ya tukio hilo.

Subscribe hapa www.youtube.com/user/uwazi1/videos

  

 

PICHA: HILARY DAUDI, GLOBAL TV ONLINE

Leave A Reply