The House of Favourite Newspapers

Shabiki: Bao la Nchimbi Unaombea Mkopo Benki – Video

0

NI Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara umechezwa jana Aprili 20, kati ya Yanga SC vs Gwambina FC, katika uwanja wa Mkapa Jijini Dar.

Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Yanga kuwashushia Gwambina kichapo cha mabao
(3 – 1) yaliyowekwa kimiani na Ditram Nchimbi, Bakari Mwamnyeto na Saido Ntibazonkiza.

Leave A Reply