The House of Favourite Newspapers

Shamsa Ford hana aibu!

0

shamsaaaaMsanii wa filamu, Shamsa Ford.

Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.

Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.

Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha yake.

“Mniache tena mniache kabisa… hakuna wa kuniamulia nivaeje, hata nikitaka kutembea bila nguo haiwahuu ee,” alisema Shamsa.

Leave A Reply