The House of Favourite Newspapers

Shigongo Ataja kwa Uchungu Jambo Linalomuumiza – Video

0

MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amesikitishwa na baadhi ya shule za halmashauri hiyo kushika nafasi za mwisho kitaifa katika mitihani ya darasa la Saba kuingia kidato cha kwanza.

 

Shigongo amesema hayo wakati wa ibada ya kuwaombea marehemu wazazi wake pamoja na ndugu wa familia hiyo, ibada iliyofanyika nyumbani kwao katika Kijiji cha Bupandwamhela, Buchosa, jana Ijumaa, Januari 1, 2020.

 

Pia aliwasisitiza wazazi kuwapeleka watoto shule na kuwasimamia masomo yao huku akiwaahidi kutoa sare za shule, madaftari, kalamu na mabegi kwa watoto wanaotoka familia masikini ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha watoto  waweze kutimiziwa ndoto zao.

Leave A Reply