The House of Favourite Newspapers

Shigongo: Tunaweza Kutengeneza Mabilionea Wazawa, Mwigulu Amjibu – Video

0

 

Mbunge wa Buchosa, @ericshigongo amesema kama serikali ikiamua kurekebisha sheria ya manunuzi, inaweza kuzalisha mabilioni wapya kumi wazawa kila mwaka.

Shigongo ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma na kueleza kuwa sheria ya manunuzi iliyopo, inawabana wazawa katika tender mbalimbali zinazotangazwa.

Leave A Reply