The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Kijana Aliyetoboa Kwa Kilimo Cha Vitunguu Maji Mpaka Kuwa Milionea Wa Magari Afunguka – Video

0

Wakati wengine wakilalamikia kwamba maisha ni magumu na hakuna ajira, kijana Richard yeye aliamua kujiongeza baada ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Dares Salaam na kukosa ajira.

Richard anaeleza kwamba aliamua kuwekeza kwenye kilimo cha vitunguu ambacho kimemfanya atoboe kimaisha, hivi sasa akiwa anafanya biashara ya kuuza magari, akimiliki ‘yard’ yake ya @troni_motors.

Leave A Reply