The House of Favourite Newspapers

Shilole Afunga Ndoa na Rommy

0

Msanii Shilole amefunga ndoa na mchumba wake Rommy, Shilole amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram na hii inakuwa ndoa yake ya pili rasmi baada ya ile ya kwanza aliyofunga na Uchebe kisha baadae kuachana.

“Namshukuru Mungu, tumemaliza salama, kwa sasa unaweza kuniita Mrs Rajabu Issa (Rommy),” Shilole.

Leave A Reply