The House of Favourite Newspapers

Shilole: Jokate anajua nilikotoka

0

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo anajua alikotoka ndiyo maana amekuwa akisapoti kazi zake. Akibonga na Amani, Shilole alisema Jokate ni mtu anayemjua tangu anaanza harakati za sanaa mpaka hivi sasa kwenye ujasiriamali wa mama lishe, ndiyo maana anampa sapoti na kumpongeza kwa kila anachokifanya.

“Yaani tangu naanza harakati za sanaa mpaka leo, Jokate ni mtu ambaye ananijua vizuri na ananisapoti sana na amekuwa akinipongeza kwa kuwa mimi siyo staa feki, ninaishi maisha halisi tofauti na wengine wanaofeki maisha,” alisema Shilole.

Stori: Mwandishi Wetu

Leave A Reply