The House of Favourite Newspapers

Shoo Ya Nandy Yafunika Tigo Fiesta Mtwara – Video

Msanii wa Bongo Fleva Kutoka nyumba ya vipaji ya THT, Nandy akiongea na mashabiki.

Msanii wa Bongo Fleva Kutoka nyumba ya vipaji ya THT, Nandy usiku wa kuamkia leo Jumapili Novemba 3, 2019  amefanya shoo ya aina yake usiku wa kuamkia leo katika Tamasha la Tigo Fiesta Mtwara

…Akiendelea kutoa shoo.

PICHA NA MUSA MATEJA | GPL

Comments are closed.