The House of Favourite Newspapers

Nape – “Sikulazimishwa Kumuomba Magufuli Msamaha, Wala Sijapoa” -Video


Mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa sasa ameimarika zaidi kisisasa anakasi na nguvu zaidi kuliko kipindi cha nyuma hivyo amejipanga kuendelea kutetea wapiga kura wake na anasubiri bunge lianze ili aoneshe cheche zake bungeni.

Comments are closed.