The House of Favourite Newspapers

Shule za Remnant Kimbilio la Wazazi

0

Remnant Nursery and Primary School, ni shule zinazotoa elimu bora kwa watoto kuanzia ngazi ya chekechea hadi darasa la saba kwa mchepuo wa Kingereza.

Shule hizo ni kimbilio kwa wazazi katika msimu huu, kuelekea mwanzoni mwa mwaka 2022. Good news ni kwamba, Shule hiyo inatangaza nafasi za masomo kwa muhula wa masomo 2022, fomu zinapatikana shuleni Tabata Relini jijini Dar Pamoja na Kibaha.

Remnant ambayo imeshika nafasi ya sita kiwilaya, ni shule ambazo zinafundisha kwa njia ya teknolojia kupitia kompyuta na iPad.

Mtoto wako akifika shule anakuwa hana tofauti na nyumbani kwa jinsi anavyolelewa na wanafunzi ambao wana maadili, wanaojua kuifanya kazi yao.

Shule hiyo ipo Tabata Relini jijini Dar kwa wanafunzi wa chekechea hadi darasa la saba. Kwa upande wa Kibaha shule ipoina mandhari mazuri yanayomwezesha mtoto kusoma vizuri pamoja na kucheza michezo mbalimbali.

Kwa mawasiliano zaidi wacheki kupitia namba; 0628 007876, 0625 695113, 0754 423098. Instagram; remnantschoolstanzania.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply