The House of Favourite Newspapers

SIMBA VS YANGA: VITUKO VYA MASHABIKI WA SIMBA na YANGA -VIDEO

0

WAKATI leo Yanga ikiwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kuna vita ya mabeki wa kulia wa timu hizo. Vita kubwa leo itakuwa kwa mabeki Juma Abdul wa Yanga na Shomari Kapombe wa Simba kutokana na rekodi zao kufanana na kazi zao pia.

Leave A Reply