SIMBA WALIVYOTUA TAIFA KUKIPIGA NA JS SAOURA (PICHA +VIDEO)

Timu ya Simba walivyotua kibabe katika Uwanja wa Taifa kucheza mchezo wa Klabu Bingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya JS Souara ukiwa mchezo wa kwanza kwenye kundi D.

Kocha wa Simba, Patrick Aussems kutoka Ubelgiji akishuka kwenye basi la timu ya Simba.

Beki wa Simba Pascal Wawa akishuka kwenye basi.

Clatous Chama akishuka kwenye basi akisoma meseji kwenye simu yake.

Jurko Murshid akishuka kwenye basi mkononi akiwa na kopo la juisi

James Kotei akishuka kwenye basi tayari kuwavaa waarabu

Ulinzi ukiwa imara kwenye lango kuu la kuingilia wachezaji

PICHA NA MUSA MATEJA , GPL

Loading...

Toa comment