The House of Favourite Newspapers

Simba Wamsajili Wilker Henrique da Silva wa Brazil

Mshambuliaji Wilker Henrique da Silva mwenye umri wa miaka 23, amesaini mkataba wa miaka miwili kukipiga na mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC akitokea klabu ya Bragantino ya Brazil.

Comments are closed.