The House of Favourite Newspapers

Simba, Yanga Watifuana Taifa, Kisa Ndinga – Video

0

MASHABIKI wa klabu za Simba na Yanga, jana Jumapili, Machi 8, 2020, walitifuana vibaya kwa kushindana kununua gazeti bora la michezo nchini, Spoti Xtra na kushiriki bahati nasibu ya Promosheni ya Baba Lao ambapo mshindi wa droo kubwa atajinyakulia gari mpya aina ya Toyota Fun Cargo .

Licha ya kununua Gazeti la Spoti Xtra na kushiriki bahati nasibu hiyo, mashabiki hao pia walijishindia zawadi za tiketi ya zilizotolewa na Spoti Xtra kwa ajili ya kushuhudia mtanange huo maarufu barani Afrika uliomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Wakipiga stori na Timu ya Masoko ya Spoti Xtra, mashabiki walisema wanapenda kusoma Spoti Xtra kwa sababu lina habari za kweli na za uhakika, zinazoendana na wakati, takwimu sahihi pamoja umahiri wake kwani limekuwa bora tangu lianzishwe zaidi ya miaka miwili iliyopita.

“Kwa kununua Spoti Xtra tunapata faida mara mbili, kwanza ni kupata habari na pili ni kushiriki bahati nasibu ya Chomoka na Gari mabapo mshindi wa droo kubwa ya fainali atajishindia gari mpya aina ya Toyota FunCargo. Pia, wasomaji mbalimbali wanajishindia zawadi za simu mpya za kijanja, Smart Kitochi, ambazo ndani yake kutakuwa na bando la bure na APP ya Global Radio na droo.

JINSI YA KUSHIRIKI

Nunua Gazeti la Championi kisha fungua ukurasa wa pili ambapo utakutana na kuponi yenye maelekezo ya kushiriki bahati nasibu hiyo. Jaza kuponi kama maelekezo yalivyo.

JINSI YA KUTUMA:

Mpe kuponi yako muuza magazeti aliye karibu nawe popote ulipo, au peleka kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Sinza-Mori, Dar, au tuma kwa njia ya barua, Jishindie Gari, Global Publishers, S.L.P 7534, Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi, piga simu no: 0717 020792 au 0672 324759.

MASHARTI YA KUSHIRIKI:

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd na watoto chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kushiriki bahati nasibu hii.

Kuponi zitumwe kutoka nakala halisi ya gazeti, vivuli (fotokopi) haviruhusiwi. Mtu anaruhusiwa kutuma kuponi nyingi kadiri awezavyo ili ajiongezee nafasi ya kushinda.

Kuponi zote zitachezeshwa kwenye droo ya awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu.

 

 

 

 


HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS/GPL

 

Leave A Reply